WASANII WA BONGO WANAOONGOZA KWA KUPIGA PICHA ZA UTUPU


KAMA  KAWAIDA, JUZI  TULILAANI  VITENDO VIOVU  VINVYOFANYIKA  HAPA NCHINI  VYA KUPIGA PICHA CHAFU.........
CHA  AJABU  BAADHI YA WATU  WAKALAUMU KUWA  HATUWATENDEI  HAKI.....HII  SI HAKI YA KUITETEA  JAMANI.
VITENDO HIVI VIMEKUWA  VIKIFANYWA  NA  WATU MAARUFU  HAPA  NCHINI  KWA  LENGO LA KUTAFUTA  UMAARUFU KWA  JAMII.......
Bofya "Endelea" kucheck na list nzima.....MBALI NA  UMAARUFU, WENGINE  KWAO NI BIASHARA. LAKINI NI  BORA  TUKATAMBUA  KUWA  BIASHARA  HIYO  NI HARAMU.........

  SIKU  HIZI  WANAPIGANA  PICHA  CHAFU  MAKUSUDI  KABISAAAAAA!!!!!!....UKIWAULIZA  WATAKWAMBIA NILIKUWA NA UGOMVI  NA MPENZI  WANGU"........AU  " NILIPIGWA  NIKIWA SIJITAMBUI".......AU  "NILIKUWA  NIMELEWA SANA"........

HIZI  ZOTE NI  SABABU ZA UONGO........   KWA SABABU KAMA  ULIKUWA  NA  UGOMVI NA  MPENZI WAKO NA  AKAKUPIGA  PICHA CHAFU, JE,  ULICHUKUA  HATUA  GANI DHIDI YAKE???......

HILI  NDO SWALI  KUBWA  LA  KUJIULIZA.....

KWA NINI UTULAUMU SISI  WAKATI  HATUKUKUPIGA HIZO PICHA  ZAKO?  SISI  HATUKUKUNYWESHA  HIZO POMBE........
 


NI KWELI, KILA MTU ANA HAKI YA KUFANYA CHOCHOTE  ....LAKINI  YOTE YANAFANYIKA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI  HUSIKA......

CHANGUDOA AKIJIUZA,  POLISI WATAMKAMATA  NA KUMFIKISHA  MAHAKAMANI, IWAJE  WEWE  UNAYEPIGWA AU KUPIGA  PICHA  ZA  NUSU  UTUPU??


WAANDISHI  HAWAMDHALILISHI  MTU  YEYOTE, BALI YEYE  NDIYE  ANAYEJIDHALILISHA......USHAURI: 
1: MPENZI WAKO  AKIKUPIGA  PICHA CHAFU BILA WEWE  KUJUA,  THEN ZIKASAMBAA  MITANDAONI,  KAMSHITAKI YEYE .......HII  ITASAIDIA  KUIJULISHA JAMII KUWA HUJATENDEWA  HAKI NA KWAMBA ULIPIGWA  BILA  RIDHAA  YAKO...
 

2:  UKIFUMWA  NA MKE  AU MUME WA  MTU  SISI  HATUTAOGOPA  KUKUWEKA HADHARANI, UKIONA  TUMEKUKWAZA,  BASI UKO HURU  KUTUSHITAKI
TUMEAMUA  KUYAANDIKA HAYA KUTOKANA  NA  MAONI YA WATU KUWA HATUJAMTENDEA  HAKI  NORA.

                                                               
KAMA HAIKUWA RIDHAA YAKE  JE AMECHUKUA  HATUA GANI  KWA HUYO MPENZI  WAKE ALIYEMPIGA?
KAMA  HAKUMCHUKULIA  HATUA  YOYOTE KISHERIA, BASI ALIDHAMIRIA


2 comments:

  1. washindwe katika jana la bwana

    ReplyDelete
  2. UKWELI NINAOMBA NIWE MKWELI JUU YA HUYU BINTI NINAMJUWA YUPO KWENYE MTANDAO WA FREEMASON TULIKUWA NAYE KUZIMU TULIVIKWA ROHO YA MVUTO WA UMALAYA NA NIMEKUWA MALAYA KWA MUDA NA NILIPO HAMUA KUOKOKA YEYE NDIYE ALITUWA KUNISHAWISHI NISiJESEMA WATANIUA HUU NDIYO UKWELI=Kirefu cha H.I.V=HATARI -IMEINGIA - VITANDANI. Kwa Usalama ninaomba nihifadhi jina langu.Miss.......Mtazania- NINAMANISHA HIVYO

    ReplyDelete