Huyu ni Mwanamitindo wa muda mrefu, Fideline Iranga a.k.a
Lady Gaga wa Bongo.Naamini sote tunamjua...... Mambo anayoyafanya siku
hizi ni aibu tupu.Hivi karibuni, picha zake za utupu zilisambaa
mtandaoni kwa kasi.....
Katika utetezi wake alidai kuwa zilisambazwa
na mtuambaye alikuwa ni mpenzi wake, Sidhani kama utetezi
huo ulikuwa na ukweli ndani yake.Mi nadhani ni
kwa sababu umaarufu wake na ndoto finyu ya
kutamani kuwa kama Lady Gaga. ...!
Bofya "Endelea" kucheck out picha mbofumbofu za Fidelini Iranga.....






Leave a Reply