
Wakati ukiendelea kuisubiria #DollarPound kutoka kwa Crown Jay ambaye anawakilisha Akonshaz Music, hebu fanya kuisikiliza ii hapa nyingine #HabariWanayo kutoka kwa Tanzanian Trap King. Ngoma imetayarishwa chini ya utayarishaji wake Wi2 Touchez kutoka DomTown Records.
0 Comments