CROWN JAY X THE GREEN - DOLLAR POUND (OFFICIAL MUSIC AUDIO)

Kutoka Akonshaz Music, msanii Crown Jay akiwa na The Green wanakuletea ngoma yao inayokwenda kwa jina la 'Dollar Pound'. Ni bonge moja la ngoma ambalo unaweza kulisikiliza na kulipakua kwa kubofya link kwa danta.
Ngoma imetengenezwa DomTown Records chini ya utayarishaji wake producer Wi2 Touches. Stay tuned while downloading audio kwa danta.

Post a Comment

0 Comments