KUANGALIA MATOKEO NI RAHISI

Image result for matokeo kidato cha nne
Sasa unaweza kupata matokeo ya kidato cha pili, kidato cha nne na kidato cha sita kupitia simu yako ya mkononi (smartphone) bure kabisa pindi tuu yanapotangazwa na tume husika. Unachotakiwa kufanya ni kupakua mobile apps za MATOKEO zinazopatikana kwenye play store kwa kuandika MATOKEO - Kidato cha SITA, MATOKEO - Kidato cha NNE na MATOKEO ya kidato chochote unachotaka na kisha kupakua mobile app. Hapo utakuwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kupata matokeo kwani pindi tuu yatakapotangazwa utapewa ujumbe mfupi.

Bonyeza link zifuatazo kuangalia MATOKEO BURE kabisa kwenye simu yako.






Post a Comment

0 Comments