NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE CSEE 2018 / 2019

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 57 wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Tumaini Lutheran Seminari ya Malinyi mkoani Morogoro baada ya kubaini shule hiyo kuvujisha mtihani huo.

Mbali na kufuta matokeo hayo, Necta imekifungia kituo hicho cha kufanyia mtihani. Amesema wameagiza wahusika wote kuchukuliwa hatua wakiwemo polisi waliosimamia.


>>> Ufaulu kwa mwaka 2018 umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 mwaka 2017 hadi asilimia 78.38.

>>> Mwanafunzi Hope Mwaibanje kutoka Shule ya Sekondari Ilboru ya Arusha ameongoza kwa ufaulu matokeo ya kidato cha nne

>>> Baraza limewafutia matokeo watahiniwa 252 wa kidato cha nne kutokana na udanganyifu, 71 wakiwa ni wa kujitegemea

>>> Wanafunzi 351 kutika shule ya sekondari St Mathew na St Marcus wamezuiliwa matokeo yao kutokana na udanganyifu na matokeo hayo yatatolewa pindi NECTA itakapojiridhisha

Matokeo ni haya hapa:CSEE





Post a Comment

0 Comments