Tazama video mpya ya wimbo wa Rayvanny "Tetema" akimshirikisha Diamond Platnumz. Hii ni baada ya wimbo wao Mwanza kupigwa marufuku!